Janaaiz
🔙 Home
بسم الله الرحمن الرحيم
Wasiya Wa Kishariy'ah Wa Muislamu Kabla Hajafariki
Yajue Mambo Anayopaswa Kufanyiwa Mtu Akifariki
◌ Dalili Za Kheri Katika Mambo Yamfaayo Maiti ◌
01 Anapougua Maradhi anayohofiwa kufa nayo
02 Kuridhika na kuwa na subira kwa Qadar ya Allah (Subhaanahu wa Ta'ala)
03 Kumdhania mema Allah (Subhaanahu wa Ta'ala)
06 Nia na usia wa kurejesha haki
07 Kinachotakiwa kiwepo katika usia
08 Wasia kwa wasiorithi katika ndugu na jamaa wa karibu
09 Hakuna kuusiwa mali mwenye kurithi
10 Usia kwa theluthi ya mali au chini ya hapo
11 Kuacha kufanya maovu (madhara) katika kuusia
12 Kutokutekeleza Usia wenye madhara
13 Baadhi ya matendo yenye kumfaa maiti
14 Kauli ya Mwisho ya Mtu kuwa ni Laa ilaha illa llahi
15 Kumuombea kheri Mwenye kufa
16 Kumfunga macho na kumuombea atakapokufa
17 Je, Surat Yaasin husomwa kwa maiti?
18 Kulipa Deni kwa mali ya Maiti
19 Kujitolea kwa kumlipia madeni Maiti
21 Kuacha kuomboleza kwa sauti ni rehema kwa maiti
22 Kilio chenye kukubaliwa kisheria
23 Kutangaza kifo kwa ajili ya maslaha
24 Kutangazwa kifo kwa lengo la kumuombea
25 Maombolezo yaliyoharimishwa
26 Kutaja mazuri ya maiti na kuacha mabaya yake
28 Kinachomlazimu mwenye kukosha
29 Kumkafini na kumpamba maiti
30 Je, maiti itahamishwa kutoka katika nchi aliyofia na kupelekwa nchini kwake?
34 Dua zilizopokelewa katika dua za Jeneza
36 Muda unaokatazwa kuswalia jeneza na kuzika
37 Kumuombea maiti baada ya kuzika
39 Je, maiti hulakiniwa majibu ya Malaika wawili?
42 Kutoa mkono wa pole (Taazia)
43 Je, kunafaa kukusanyika kwa ajili ya Taazia?
44 Je, wafiwa huwatengenezea wahani chakula?
45 Matamko ya taazia ni haya yafuatayo
47 Dua za Waislamu zinamnufaisha maiti
51 Kutoa sadaka mali ambayo haikuusiwa
52 Kuacha huru mtumwa, kutoa sadaka na kuhiji humnufaisha Muislamu
54 kijana mwema atakayemuombea dua
55 Je, husomewa Qur’an na Al-Faatiha?
56 Je, huswali swala yake na ya babake au hufunga kwa funga yao?
57 Kuzuru kaburi lake na kumuombea
58 Je, ni ruhusa kwa wanawake kutembelea makaburi?
59 Matamko yanayotumika katika kuwaombea wafu makaburini
60 Je, Yafaa kusoma Qur’an Makaburini?
61 Kuzuru makaburi wakati wa matukio maalum