JINSI YA KU-SAVE FILE KUTOKA TELEGRAM

JINSI YA KU-SAVE FILE KUTOKA TELEGRAM

SCHOOL PVH

FUATA HATUA ZIFUATAZO ILI KU-SAVE{KUIFADHI} FILE AU DOCUMENT YOYOTE

HATUA YA KWANZA

Hatua ya kwanza unatakiwa kuclick alama ya kudownload file mfano kama mshale ulivoonesha kwenye picha

HATUA YA PILI

Baada ya kumaliza kudownload file unaclik alama ya nucta tatu kama inavoonesha picha nucta zilizozungushiwa alama nyekundu

HATUA YA TATU

Baada ya kubonyeza nukta tatu inaleta option kama inavoonesha kwenye picha hii, unaclick sehemu iliyoandikwa "save to download" kama inavoonesha picha iliyozungushiwa mduara mwekundu , tayari kwa ku-save{kuifadhi} kwenye simu yako

HATUA YA MWISHO

Ili kujua mafaili yako ambayo tayari umeyasevu kutoka telegram, Ingia kwenye file storage ya simu yako, nenda folder ya download, utaikuta mitihani au mafaili yako yote ulidownload kutoka telegram


KARIBU SCHOOL PVH

https://www.schoolpvh.ac.tz

Tunatoa huduma zote za kitaaluma Kama ifuatavyo 

✍ Notes zote kidato cha 1 - 6 

✍Notes za Education 

✍ Vitabu shule ya msingi (swahili & English medium) 

✍ Practical notes za O-level na A-level 

✍ Vitabu Mbalimbali mf: Chand 

✍Past papers za Necta Miaka yote 

✍Taarifa zote za taaluma mf: Matokeo ya Necta Na mengine mengi 


TEMBELEA WEBSITE YETU BUREE 

https://www.schoolpvh.ac.tz


Au tumia bot link hii ikurahishie kupata utakacho kwa wakati ukiwa unatumia telegram


AU JIUNGE NASI NA MITANDAO YA KIJAMII KUPATATA TAARIFA ZA KITAALUMA KWA URAHISI ZAIDI


Telegram ☆

https://t.me/schoolpvh


Instagram ☆

https://instagram.com/schoolpvh2020


Facebook ☆

https://fb.me/pvhre26


YOUTUBE ☆ 

https://www.youtube.com/channel/UCK72_MXde8Xw6BpbwMxDOVw


WhatsApp ☆ 

https://www.schoolpvh.ac.tz/p/whatsapp-group.html?m=1


WEBSITE ☆ 

www.schoolpvh.ac.tz

CENTER OF EDUCATION RESOURCES IN TANZANIA



Report Page