UJIO WA COPILOT AS UKOMBOZI WA AKILI BANDIA

UJIO WA COPILOT AS UKOMBOZI WA AKILI BANDIA

https://kigogoforum.com/index.php?threads/ujio-wa-copilot-as-ukombozi-wa-akili-bandia.600/

Hapo awali kuliibuka na Technology ya Chat GPT ambayo ilionekana kuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi lakini ulikua una fanya kazi kutoka kwa data ama taarifa zilizo pita ambazo zilisha chakatwa yaani ambazo hazizidi mwaka 2021..


Lakini COPILOT Kaja na Mapinduzi ya ajabu katika Teknolojia yaani unaweza ulizo chochote kilicho fanyika hata leo asubuhi akakupa majibu this is AI the rise of AI

You must log in or register to reply here.

Report Page