Pata tiketi ya ndege ya bei rahisi kinoma, Angalia Jinsi ya kuipata hapa

Pata tiketi ya ndege ya bei rahisi kinoma, Angalia Jinsi ya kuipata hapa

Aviasales

Aviasales Tanzania, inakuwezesha kutafuta na kununua tiketi za ndege na hoteli za kufikia popote uendapo duniani zenye bei rahisi zaidi.


Je, hauko tayari kulipa zaidi na kupoteza muda kutafuta tiketi ya ndege inayoendana na bajeti yako mtandaoni au kwenye mashirika ya ndege? Aviasales App ambayo unaweza kuipakua kwenye app store yako kwenye simu ndiyo JIBU. Au tembelea tovuti yetu www.aviasales.co.tz upate tiketi yako haraka na kwa bei rahisi mno.


Huduma zetu ni bure kabisa, Unachotakiwa kufanya ni kupakua app yako - Aviasales App au tembelea tovuti hii www.aviasales.co.tz; Halafu utaweka taarifa za safari yako kama ifuatavyo;

Weka Taarifa za safari yako


Safari yako inaanzia wapi bonyeza kitufe kilichoandikwa ”From

Itaishia wapi bonyeza kitufe kilichoandikwa“ To” ,

Tarehe ngapi utaanza safari yako bonyeza kitufe kilichoandikwa “Departure date”

Lini unatarajia kurudi bonyeza kitufe kilichoandikwa “Return date”

halafu utaona kitufe kimeandikwa “Passengers” hapo utaweka idadi ya watu wazima au watoto watakaokuwepo kwenye hiyo safari.

Halafu utabonyeza kitufe kilichoandikwa “Search flights” Utasubiri kidogo halafu utaletewa machaguo ya bei ya tiketi kulingana na bajeti yako.


Mfano wa muonekano wa Taarifa za safari yako


Machaguo ya bei ya tiketi


Baada ya hapo utapata machaguo ya bei ya tiketi halafu utabonyeza chaguo la tiketi yako, utapelekwa mojamoja sehemu upoweza kuinunua utaona kitufe kimeandikwa “Book” utakibonyeza halafu utapelekwa sehemu ambayo utaweka taarifa zako kama jina, namba ya pasipoti


Bonyeza palipoandikwa "Book"


Hakikisha Taarifa za safari yako




Weka taarifa zako kama msafiri




Mwisho utaona kitufe kimeandikwa “Pay” utakibonyeza, huko utaweka taarifa za kadi yako ya benki yenye VISA au Mastercard


Utachagua kulipa kwa kadi yako ya bank au paypal


Weka namba ya kadi


Weka taarifa za nyongeza za kadi yako halafu bonyeza "Pay"
Malipo yakiwa tayari unasubiria wakutumie tiketi yako kupitia anuani ya barua pepe uliyoweka



Kwa wale wasiokua kua akaunti benki, Unaweza kutumia Mastercard wanayotoa M-pesa au Airtel money kupitia menu zao haraka na bure, halafu utaweka pesa kwenye kadi hiyo ili kufanya malipo mtandaoni.

Mfano wa jinsi ya kutengeneza Airtel Money Mastercard

Bonyeza menu ya Airtel money *150*60#


Chagua 6. Huduma za kifedha


Chagua 1. Airtel Money Mastercard


Chagua 1. Tengeneza kadi


Weka Namba yako ya Siri, Utapokea ujumbe kwenye simu yako wenye namba yako ya kadi pia link ambayo itakupeleke kuona kadi yako ya Airtel money mastercard.


Mfano wa kadi ya Airtel Money Mastercard, Kwaajili ya kufanyia malipo mtandaoni.



🧲️Tafuta na ununue tiketi za ndege za bei rahisi na aviasales sasa. Hauna Kisingizio

 











Report Page