MWANDISHI ALIYETOKANA NA AKILI BANDIA(Artificial Intelligence)

MWANDISHI ALIYETOKANA NA AKILI BANDIA(Artificial Intelligence)

https://kigogoforum.com/index.php?threads/mwandishi-aliyetokana-na-akili-bandia-artificial-intelligence.596/

Msoma habari wa kike aliyetokana na Teknolojia ya akili bandia ( Artificial Intelligence), ameanza kuonekana kwenye habari za Kuwait wikiendi iliyopita. Kupitia mtandao wa Twitter, Shirika la habari la Kuwait News liliposti video iliyomuonyesha mwanahabari huyo aliyetengenezwa kwa Kompyuta akijitambulisha. "Mimi naitwa Fedha,mtangazaji wa kwanza nchini Kuwait ninayefanya kazi kwa kutumia akili bandia hapa Kuwait News.Habari za aina gani mnapendelea? Ngoja tusikie maoni yenu" alisema kwa lugha ya Kiarabu.


Kaimu Mkurugenzi wa Shirika hilo Abdullah Boftain amesema haya ni majaribio ya uwezo wa teknolojia hiyo kuleta maudhui mapya na yenye ubunifu.

You must log in or register to reply here.

Report Page