Kampuni ya Oraimo Waleta “Slide Into Your World”
https://www.tanzaniatech.one/2023/02/slide-into-your-world/

FREEPOD 4 imeboreshwa Zaidi kwenye upande wa betri ambapo, utaweza kusikiliza muziki mwororo kwa Zaidi ya siku moja na nusu (masaa 35.5).
Sio hivyo tu pia inakuja na sifa nyengine ya Active Noise Cancellation. Sifa hii itakusaidia kusikiliza mziki au kuongea na simu bila muingiliano wa sauti za nje, FREEPOD 4 inazuia sauti za nje (Hautaweza kusikia sauti za watu, vitu vingine pindi ukiweka ON) kwahiyo itakupa uhuru wa kuenjoy kila utakachoko kuwa unasikiliza.
Shina Zawadi Kibao Kupitia TECNO Spark 9 na CAMON 19Bidhaa hii inatarajiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 3 March, hivyo itakuwa inapatikana katika maduka yote ya Accessories Tanzania nzima kuanzia siku hiyo.
Hivyo basi wapenda bidhaa za oraimo au wapenzi wa kutumia Earbuds mjiandae kupokea bidhaa hii kali kutoka oraimo. Kufahamu Zaidi kuhusu bidhaa za oraimo tembelea tovuti yao, Oraimo.com Au kwenye page zao za mitandao ya ijamii oraimotanzania (@oraimotz).
Back to Top