Jinsi ya Kubadilisha Simu ya Android Kuwa iPod Classic
https://www.tanzaniatech.one/2023/03/android-kuwa-ipod/
retroPod: ClickWheel Music App
Baada ya hapo moja kwa moja fungua app hii kisha moja kwa moja utaweza kupata muonekano wa iPod Classic moja kwa moja kwenye simu yako ya Android.
Hitimisho
Kupitia app hii utaweza kufanya kila kitu ambacho kinaweza kufanyika kwenye iPod Classic na utaweza kupata pia kitufe maarufu kwenye ipod ambacho kinatumika kuendesha iPod. Njia hii ni rahisi sana na ni nzuri kama unafahamu iPod na kama ulikuwa unatamani kupata muonekano wa iPod kwenye simu yako.
Jinsi ya Kuforward Simu Moja kwenda Nyingine (Kudivert) Back to Top