INSTAGRAM HUIBA TAARIFA KUTOKA KWENYE SIMU YAKO...

INSTAGRAM HUIBA TAARIFA KUTOKA KWENYE SIMU YAKO...

https://kigogoforum.com/index.php?threads/instagram-huiba-taarifa-kutoka-kwenye-simu-yako.618/

Hii ni siri iliyo jificha nyuma ya Instagram imekua imetengenezwa katika njia ambayo huchunguza kila activity unayo fanya, kila app unayotumia na umetumia marangapii.... Hiii ni hatariiii zaidi kuwahi kutokea... Lakini tumaini lipo na uwezo wa kuzia upo ingawa by default ukisha download instagram then everything inakua ina uwezo wa ku access


STEPS TO FOLLOW:


1. Fungua Instagram yako
2. Nenda kwenye profile yako.
3. Click hamburg( alama ya mistari mitatu iliyo kulia)
4.setting and privacy 5. Click Account center
6. Click your information and permission 7. Click your activity off meta technology 8.click recent activity 9.itakuadai password ya Instagram just weka
10.click clear activities
11. Click tena clear activities
12.then clear previous activities


13.mission complete

You must log in or register to reply here.

Report Page