Du’aa Za Ruqyah

Du’aa Za Ruqyah

🔙 Home



01- Kuomba Kuwezeshwa Kutenda Kheri, Kuacha Munkari, Kuwapenda Masikini Kupata Maghfirah na Rahmah, Kuepushwa na Fitnah, Na Kulipata Penzi La Allaah


02- Kuomba Kinga Dhidi Ya Tabia Za Kuchukiza, Matendo, Hawaa Na Magonjwa Yote Mabaya

03- Kuomba Kinga Dhidi Ya Shari Ya Masikio, Macho, Ulimi, Moyo Na Utupu

04- Kuomba Uthibiti Wa Moyo Juu Ya Uislamu

05-Kuomba Yaqiyn, ‘Afwa na ‘Aafiyah Duniani na Aakhirah

06- Kuomba Mu’aafaat, Nayo Ni Katika Du’aa Bora Kabisa

07-Du'aa Za Ruqyah Na Tafsiri Zake: Kuomba Uongofu, Taqwa, Utakasifu na Utajiri wa Moyo

08- Kuomba Kutengenekewa Dini, Dunia, Aakhirah na Umri Kuwa Ziada Ya Kheri Zote Na Mauti Kuwa Mapumziko Na Shari Zote

09- Kinga Ya Kutolemewa Na Mitihani, Kuishilia Kwenye Naqama, Qadhwaa Mbaya na Maadui Kufurahia Misiba

10- Kinga Dhidi Ya Kuporomokewa, Kuanguka Toka Mwinuko Mrefu, Kughariki, Kuteketea Moto, Kuzugwazugwa Na Shaytwaan Wakati Wa Kifo, Kufa Mtu Akiikimbia Njia Ya Allaah, Kifo Kitokanacho Na Kuumwa Na Kiumbe Chenye Sumu

11- Kuomba Fadhla Na Rahmah Za Allaah

12- Kuomba Kujilinda Dhidi Ya Njaa Na Khiyana

13- Kujilinda Dhidi Ya Kupotea Au Kupoteza, Au Kuteleza Au Kutelezesha, Au Kudhulumu

14-Kujikinga Na Shari Ya Sehemu Mtu Anaposhukia



Report Page