Du'aa Za Nabiy

Du'aa Za Nabiy

🔙 Home



 000-Utangulizi

001- Mema Ya Duniani Na Aakhirah Na Kinga Ya Adhabu Ya Moto

002- Kuthibitika Moyo Katika Dini

003- Kuomba Kuelekezwa Moyo Katika Utiifu

004- Sayyid Al-Istighfaar: Du'aa Kubwa Kabisa Ya Kuomba Maghfirah Kuliko Zote

005- Du’aa Makhsusi Ya Laylatul-Qadr- Kuomba Al-'Afw (Msamaha)

006- Kuomba Maghfirah Na Rahmah Kutokana Na Kujidhulumu Nafsi

007- Kuomba Maghfirah Na Tawbah

008- Kuomba Maghfirah Na Tawbah Du'aa Ina Jina Tukufu La Allaah Ambalo Likiombwa Huitikiwa

009- Kutakaswa Madhambi Kama Inavyotakaswa Nguo Nyeupe Kutokana Na Uchafu

010- Maghfirah, Hidaayah, Rizki, Msamaha, Dhiki Ya Kisimamo Cha Aakhirah

011- Maghfirah, Rahmah, Hidaaya, Kuungwa, Afya, Rizki, Kupandishwa Daraja

012- Maghfirah, Kupanuliwa Neema Katika Nyumba, Kubarikiwa Katika Rizki

013- Kinga Ya Shari Ya Nafsi, Kuthibitika, Maghfirah Ya Dhambi Za Kila Aina

014- Kuhesabiwa Hesabu Nyepesi Siku Ya Qiyaamah

015- Kinga Ya Kumshirikisha Allaah Ukiwa Unajua Na Kuomba Maghfirah Kwa Usiyoyajua

016- Kuomba Jannah Na Kuepushwa Na Moto, Du'aa Yenye Jina Tukufu La Allaah

017- Kuomba Jannah Na Kuepushwa Na Moto Mara Tatu Asubuhi Na Jioni

019- Adhabu Ya Moto Kaburi, Shari Za Utajiri Na Umasikini, Fitnah Za Masiyh Ad-Dajjaal

020- Kheri Alizoziomba Nabiy Na Shari Alizojikinga Nazo, Kuomba ...

021- Kuomba Hidaaya, Taqwa, Sitaha Na Kutosheka

022- Kuomba Hidaaya, Kunyooka Sawasawa Na Unyofu

023- Kuomba Iymaan Isiyobadilika, Neema Zisizoisha, Kukaribiana Na Nabiy Janna

024- Kusaidiwa Kumdhukuru Na Kumshukuru Allaah Na Kumwabudu Vizuri

025- Khofu Inayotenganisha Baina Maasi Na Utiifu Utakaofikisha Jannah...

026- Kuomba Uhai Au Mauti Yakiwa Na Kheri, Kumkhofu Allaah Kisiri Na Dhahiri

027- Kuomba Kukithirishwa Mali Na Watoto Na Kubarikiwa

028- Kuomba Al-'Aafiyaah: Afya, Hifadhi, Amani, Usalama Duniani Na Aakhirah

029- Kuomba Mwisho Mwema, Kuokoka Na Hizaya Duniani Na Adhabu Za Aakhirah

030- Kusaidiwa, Kunusuriwa, Kupangiwa, Kumshukuru Na Kumdhukuru Allaah

031- Azima Za Rahmah Za Allaah Na Maghfirah, Amani Na Kufuzu Jannah

032-Ukunjufu Wa Rizki Katika Uzee Na Kukatika Umri

033- Kuomba Fadhila Na Rahmah Za Allaah

034- Kuunganishwa Nyoyo, Kusuluhishwa, Kuongozwa Njia Ya Amani, Kuokoka Kiza...

035- Maombi Bora, Duaa, Kufuzu, Amali, Thawabu, Uhai Mauti, Kuthibitishwa...

036- Kukinaishwa Ulivyoruzukiwa, Kubarikiwa Na Kubadilishiwa Maovu Kwa Khayr

037- Maisha Ya Taqwa, Mauti Ya Wastani, Marejeo Kwa Allaah Bila Hizaya

038- Kukunjuliwa Baraka, Rahmah, Fadhila, Rizki, Neema Ya Kudumu...

039- Kuzidishiwa Bila Kupunguziwa, Hadhi Bila Kudunishwa...

040- Du'aa Ambayo Ni Hazina Kuliko Hazina Ya Dhahabu Na Fedha!

041- Kuomba Taqwa Ya Nafsi Na Kuitakasa

042- Kuomba Khulqa (Tabia) Njema

043- Kuomba Hikmah Kwani Atakayepewa Hikmah Amepewa Khayr Nyingi

044-Kuomba Ilhamu Ya Uongofu Na Kuomba Kinga Ya Shari Za Nafsi

045- Kuomba Kinga Dhidi Ya Moyo Usionyenyekea, Du'aa Isiyosikizwa, Nafsi Isiyoshiba, Elimu...

046- Kuomba Mema Kuacha Maovu Kuwapenda Maskini, Mapenzi Ya Allaah

047- Kuomba Mapenzi Ya Allaah Na Mapenzi Ya Watakaokunufaisha Kwa Allaah

048- Kuomba Hifadhi Katika Uislamu Katika Hali, Kinga Na Bezo La Adui Na Hasidi ...

049-Kuomba Kinga Ya Kila Shari, Kulipiwa Madeni Na Kinga Ya Ufakiri

050-Kujikinga Kushindwa Hila, Kutokuwa Na Uvivu, Uoga, Ubahili, Kutokudhoofika, Adhabu Za Kaburi Fitnah Za Uhai Na Mauti

051-Kinga Ya Kushindwa Hila, Kuomba Taqwa Ya Nafsi,Kinga Ya Elimu Isiyonufaisha, Moyo Usionyeyekea, Nafsi ...

052- Kuomba Kinga Ya Shari Ulizotenda Na Shari Usizotenda

053- Kuomba Kinga Ya Shari Ya Masikio, Macho, Ulimi, Moyo Na Manii

054- Kuomba Kinga Ya Tabia Ovu Za Kuchukiza Na Matendo Na Matamanio

055- Kinga Ya Tabia Ovu Na Matamanio, Matendo Na Maradhi

056- Kuomba Kinga Ya Njaa Na Khiyaana

057- Kinga Ya Uoga, Ubakhili, Kurudishwa Katika Umri Wa Udhalili, Fitna Za...

058- Kinga Ya Kudhoofika, Moyo Mgumu, Kughafilika, Kufedheheka, Kudhalilika Na...

059- Kinga Ya Kuangamia, Kuzama, Kuungua, Kughilibiwa Na Shaytwaan Wakati Wa .....

060- Kinga Ya Ufakiri, Uchache, Udhalili, Kudhulumu Au Kudhulumiwa

061- Kinga Ya Uoga, Ubakhili, Uovu Wa Umri, Fitna Za Moyo, Adhabu Za Kaburi

062- Kinga Ya Balaa Kuu Kukumbwa Na Mateso Majaaliwa Mabaya Bezo La Maadui

063- Kuomba Kinga Dhidi Ya Jirani Muovu

064- Kuomba Kinga Maovu Ya Mchana, Usiku, Saa, Rafiki Muovu, Jirani Muovu

065- Kuomba Kinga Ya Kushindwa Kulipa Deni, Kushindwa Na Adui Na Bezo La Maadui

066- Kutoshelezwa Vya Halali Dhidi Ya Haramu, Kutajirishwa Kwa Fadhila Za Allaah

067- Kujisalimisha Kwa Allaah, Kumwamini, Kutawakali Kwake, Kutubia Kwake...

068- Kinga Ya Kuondokewa Neema Za Allaah, Kubadilika 'Aafiyah, Adhabu Ya Ghafla...

069- Kuomba Kunufaishwa Kwa Uliyojifunza, Elimu Ya Yatakayokufaa, Kuzidishiwa Elimu

070- Kuomba Elimu Yenye Manufaa, Kuomba Kinga Dhidi Ya Elimu Isiyonufaisha

071- Kunufaishwa Kwa Masikio, Macho, Kunusuriwa Na Anayekudhulum, Allaah Kukulipizia...

072- Hasbuna Allaahu Wa Ni'mal-Wakiyl: Allaah Anatutosheleza Mzuri Alioje Mdhamini...

073- Kuomba Maghfirah Kwa Makosa Uliyoyakusudia Na Ya Mzaha, Kupinduka Mipaka...

074- Kutengenezewa Dini, Dunia Na Aakhirah, Kuzidishiwa Kheri Za Uhai, Kuepushwa...

075- Kuomba Qur-aan Kuwa Ni Uhuisho Wa Moyo Na Nuru, Kuondokewa Huzuni,Wahka

076- Kutaraji Rahmah Ya Allaah Kuomba Utengenezewe Mambo Yako Yote

077- Kuomba Rahmah Ya Allaah Itakayokutosheleza Usimtegemee Yeyote Ila Allaah

078- Kuomba Msamaha, Al-'Aafiyah Duniani Na Aakhirah Kuhifadhiwa Kila Pande

079- Kuomba Kinga Ya Jirani Na Mke Au Mume Muovu, Mwana Anayedhibiti, Rafiki Khaini



Report Page