Anayeswali ndani ya Hijr na Ka´bah iko nyuma yake
KhamisSwali: Ikiwa mtu ataingia ndani ya Hijr kisha akaifanya Ka´bah iwe nyuma yake – Je, swalah yake inasihi?
Jibu: Ndani ya Hijr yote imo katika Ka´bah isipokuwa upande mdogo tu, takriban dhiraa saba, zote ni katika Ka´bah. Hata hivyo inapaswa uso wake uwe umeelekezwa kwenye Ka´bah akiwa ndani ya Hijr, kwani Ka´bah ipo mbele yake.
https://firqatunnajia.com/anayeswali-ndani-ya-hijr-na-kabah-iko-nyuma-yake/