AI nzuri zitakazoongeza Ufanisi Kazini na Darasani. #AI #AkiliUnde
TeknolojiaTeknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Unde) imeleta mapinduzi katika namna tunavyofanya kazi, kujifunza, na kutafuta taarifa mtandaoni. AI nzuri sana ni zana muhimu kwa wanafunzi, walimu na wafanyakazi wa kisasa wanaotaka kufanya utafutaji wa taarifa au kazi kwa ufanisi zaidi na ubunifu zaidi.

Hapa chini ni huduma 5 bora za AI unazopaswa kujaribu, kila moja ikiwa na kitu cha kitofauti na nyingine.
1. ChatGPT iliyotengenezwa na OpenAI

ChatGPT ni msaidizi wa kidigitali, ni huduma inayofaa kwa kazi za aina nyingi: kuandika barua, ripoti, taarifa, maswali, au hata kupanga maudhui ya biashara.
- Hutoa majibu ya haraka na yenye kina katika nyanja mbalimbali
- Inasaidia maandiko, muhtasari, na shughuli za utafiti
- Inapatikana bure kwa matumizi ya machache ya kila siku
- Majibu yanategemea vyanzo vya mtandaoni (si zote ni sahihi)
- Kama huduma zote za AI, inahitaji uhakiki wa taarifa ili kuepuka upotoshaji.
- Mtandaoni https://chat.openai.com
Android: ChatGPT kwenye Google Play
Android: ChatGPT kwenye Google Play
Android: ChatGPT kwenye Google Play
2. Google Gemini AI

Google Gemini ni msaidizi wa AI wa Google, unaopatikana kupitia app ya Google au Google Gemini, inasaidia katika utafutaji wa taarifa, kazi ubunifu ikiwa ni pamoja na uwezo wa AI wa kuunda picha au maandiko.
- Inatoa majibu kutoka data na injini ya utafutaji ya Google
- Ina uwezo wa kuunda maudhui ya ubunifu mazuri kama picha na video.
- Inajiunga vizuri na huduma za Google kama Chrome na Gmail
- Vipengele vya juu vinaweza kuhitaji usajili wa Google One AI Premium, hii ikiwa ni pamoja na uwezo wa kutengeneza video.
- Kama huduma nyingine, inahitaji uhakiki wa taarifa ili kuepuka upotoshaji.
- Google Play Store (Android): Google Play
- Apple App Store (iOS/iPadOS): iPhone App Store
3. Grammarly

Grammarly ni zana inayosaidia kuboresha maandiko ya Kiingereza kwa kurekebisha sarufi, muundo, na msamiati.
Inarekebisha makosa ya sarufi, ufasaha, na matumizi ya maneno
Inafanya kazi kwa eneo zote unapoandika barua pepe, posts, n.k.
Inarekebisha makosa ya sarufi, ufasaha, na matumizi ya maneno
Inarekebisha makosa ya sarufi, ufasaha, na matumizi ya maneno
Inafanya kazi kwa eneo zote unapoandika barua pepe, posts, n.k.
Inafanya kazi kwa eneo zote unapoandika barua pepe, posts, n.k.
Toleo la bure lina vipengele vichache
Inalenga zaidi lugha ya Kiingereza
- Nzuri zaidi kama ikiwekwa kwenye Kivinjari cha kompyuta (Browser Extension) au kwa kuitumia kwenye tovuti yake
Toleo la bure lina vipengele vichache
Toleo la bure lina vipengele vichache
Inalenga zaidi lugha ya Kiingereza
Inalenga zaidi lugha ya Kiingereza
- Kwenye mtandao https://grammarly.com
iOS: programu ya Grammarly kama keyboard app inapatikana kwenye App Store
Android: Grammarly Keyboard kwenye Google Play
iOS: programu ya Grammarly kama keyboard app inapatikana kwenye App Store
iOS: programu ya Grammarly kama keyboard app inapatikana kwenye App Store
4. Perplexity AI

Perplexity AI ni injini ya utafutaji inayotoa majibu ya moja kwa moja kutoka vyanzo vya kuaminika, inakupa majibu yakiwa moja kwa moja na vyanzo vyake, inafaa sana kwa utafiti wa kitaaluma au wa kazi.
Inatoa majibu yenye vyanzo vilivyothibitishwa
Ina uwezo wa kujibu kwa haraka ata kama utaibadilishia mada
- Pia inakuja na kivinjari, kupitia kivinjari hicho utumiaji wa AI unakuwa bora zaidi (Soma hapa – Comet Kivinjari cha AI)
Inatoa majibu yenye vyanzo vilivyothibitishwa
Inatoa majibu yenye vyanzo vilivyothibitishwa
Ina uwezo wa kujibu kwa haraka ata kama utaibadilishia mada
Ina uwezo wa kujibu kwa haraka ata kama utaibadilishia mada
Baadhi ya vipengele bora zinapatikana kwa watumiaji wa premium
Inaweza kutofaa kwa masuala ya siri
Baadhi ya vipengele bora zinapatikana kwa watumiaji wa premium
Baadhi ya vipengele bora zinapatikana kwa watumiaji wa premium
Inaweza kutofaa kwa masuala ya siri
Inaweza kutofaa kwa masuala ya siri
- Tembelea https://perplexity.ai
- Android: Perplexity – Ask Anything – Apps on Google Play
- iOS/iPadOS: Perplexity – AI Search & Chat on the App Store
5. Otter.ai

Otter.ai ni programu inayorekodi mazungumzo, mihadhara na mikutano kisha kukutengenea toleo la maandishi (transcription).
- Inarekodi na kutafsiri mazungumzo kwa wakati halisi
- Inaruhusu kusikiliza tena transcript, kutafuta maneno ndani yake, na kuondoa baadhi ya vitu
- Toleo la bure lina kikomo cha muda wa kurekodi (Dakika 300 kwa mwezi)
- Ubora wa transcript unategemea ubora wa sauti
Android: Otter.ai kwenye Google Play
Android: Otter.ai kwenye Google Play
iOS: Otter Transcribe Voice Notes kwenye App Store
Teknolojia ya hii imekuja kwa kasi na matokeo yake ni urahisi katika kufanya mengi yaliyokuwa yanaweza kutuchukua muda mrefu zaidi kuyafanya.
Ata hivyo ni muhimu ukumbuke utumiaji wa teknolojia hii usikuondolee uwezo wako wa kufikiri, muhimu ujifunze kutoka vyanzo vingine na uitumie kwa ajili ya kuboresha tu kile ambacho tayari unakifahamu kwa usahihi.
Je ni app gani tumeisahau kwenye orodha hii? Tuambie kupitia comments.
Timu ya uandishi wa Kona ya Teknolojia ingefurahi kupata sapoti yako ili iendelee kukuletea habari na maujanja mbalimbali.
Wezesha bando kwa kutuma kiasi chochote kupitia Selcom, kwenye simu yako bofya *150*50*1# kwenye namba ya malipo weka 60751369 jina litakuja TEKNOKONA.