Rules

Rules


The rules for SmatSkills are:


©SHERIA ZA KUNDI LA SMATSKILLS 📄📜®


1->>Voice note❌

hatutasikizana kama tutachati kwa voice note, itakuwa kama fujo


2->>Music❌kama unapenda muziki huku sio seem yake, unaweza kwenda sehem husika


3->>Forwarded msg tokachanel &group zingine🙈(ni marufuku sababu hatutaki kutoa kiki kwa channel au groups zingine, ukikaidi bot atamalizana na wewe) 


4->>Link zisizo na manufaa kwa kundi🙊❌


5->>Antiflood😄 (kuandika ujumbe zaidi ya mara 3 chini ya dk1)


6->>Kujivuna❌(hakuna anaejua kila kitu ndio maana tupo hapa kubadilishana ujuzi) ukijiona unajua kila kitu basi unaweza kwenda tu,huku sio sehem yako. 


7->>stika❌(hazina kazi 7bu nyingine hazieleweki) 


8->>Gif❌(ni kosa kutumia hizi alama kwani nyingine ni za matusi ndio maana hatuzitaki) 


9->>invite links😳(tuna huduma zote hapa, hatuhitaji kwenda popote) 


10->>Matangazo ya kibiashara kibinafsi(mpaka uwe mwanachama hai)🤓.


11->>Ni marufuku kuwa mbinafsi na ujuzi ulionao🙄.(uligundulika utakuwa nje).


12->>Kama una tangazo la kibiashara ongea na m1 wa admins kama inafaa kutangaza ama la😧


13->>Blog,website zinazotaka kujitangaza ni ruksa ✅lakini😟 lazima uwe mshiriki wa kikweli kweli,sio kutuma link tu na kusepa🤔.


14->>Maswali yote kuhusu somo yataulizwa kwenye kundi😕.(ukienda inbox uende na hela😂🤣)


15->>DHARAU, KUJISKIA,😏🤓unapoona kuna jambo unalijua, halina manufaa kwako, huna haja nalo, unaweza kupita 🤫🤭hivi👉 ili kupisha wengine wafaidi.


16->>KUKANDIA AU KUPONDA UJUZI WA MDAU YEYOTE.🙀☹️ Jiepushe na hili, hata kama kafundisha jinsi ya kukwangua vocha, tunadhamini mchango wake. 


UKIWA BANNED UTASUBIRI WIKI MOJA NDiO URUDI na INBOX NI MARUFUKU


KUWA MAKINI KAMA UNATAKA KUWEPO HUMU

 ASANTE KARIBUNI

Report Page