Home

Home

Khamis seleleko

Follow us:

 Kiswahili 



Islamhouse.com



Makala zote

Idadi ya Vipengele: 1499

  1. Nyumbani Lugha ya maonyesho : Kiswahili  Lugha ya maudhui : Kiswahili Makala zote

QUR,ANI TUKUFU na tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili

  • 6 / 9 / 1439 , 21/5/2018
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • QUR,ANI TUKUFU na tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili

Qauli yenye faida 19 Kuamini Malaika

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea Maisha ya malaika na chanzo cha kufukuzwa Shetani pia ameeleza kwamba malaika wanaishi peponi na amehitimisha kuelezea kuamini vitabu vya Allah alivyo viteremsha kwa Manabii wake.

Qauli yenye faida 18 Matendo yanayo Muudhi Allah Mtukufu

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea Matendo ambayo yanamuudhi Allah kama kufanya shirki na kuabudu moto, na kuitakidi kuwa myoshi ya ubani uapeleka dua kwa Allah.

Qauli yenye faida 17 Uislam upo katika Maumbile ya Mwanadamu

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea kwamba Uislam upo katika Maumbile ya mwanadamu na ndio asili alio umbiwa mwanadamu, kisha akataja dalili nyingi kuhusu hilo.


Qauli yenye faida 16 Maana ya Kumuamini Allah

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea kuhusu maana ya Imani na mambo ambayo yanaingia katika Imani, na ameeleza kuwa Imani inazidi na kupungua.

Qauli yenye faida 15 Mwongozo katika kutekeleza Ibada ya Hijja

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea kuhusu nguzo ya tano za Uislam, pia ameeleza muda na wakati wa kuhiji, na mwongozo katika kutekeleza ibada hiyo, pia amewatahadharisha mahujaji kuingia katika shirki wakati wa kutembelea mji mtukufu wa Madina.

Qauli yenye faida 14 Malipo ya Mwenye kuswali Swala Tano

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea kuhusu malipo makubwa ya mwenye kuswali, kisha amezungumzia madhambi ya mwenye kuacha swala, na ameelezea hukumu za Zaka na Swaumu kwa ufupi.

Qauli yenye faida 13 Nguzo za Uislam

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea kuhusu nguzo za Uislam na mpangilio wake kutokana na dalili zilizo pokelewa katika kubainisha nguzo hizo, kisha akabainisha ubora wa swala na cheo chake na hukumu ya alie kufa na alikuwa haswali.


Qauli yenye faida 12 Uislam ndio njia ya Peponi

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea kuwa Uislam ndio dini ya haki na kwamba hataingia peponi ispokuwa mwislam, kisha ikabainisha kuwa Uislam ndio njia ya kuingia peponi.

Qauli yenye faida 11 Uislam ni kumtii Allah na Mtume wake

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea kuwa Uislam nikutekeleza na kufuata sheria ya Allah na yote aliyo kujanayo Mtume Rehma na amani za Allah ziwe juu yake, na hii ndio maana ya Uislam.

Qauli yenye faida 10 Dhambi isiyo sameheka kwa Allah

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea kuhusu Shirki na kwamba ni dhambi ambayo haisameheki ikiwa mtu atakufa bila kutubia, kisha akabainisha malengo ya kuumbwa mwanadamu.

Qauli yenye faida 09 Daraja za Dini

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea kuhusu Daraja za dini na maana yake kisha ameeleza maana ya Uislam.


Qauli yenye faida 08 Allah yuko wapi?

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii ina fuata mada iliyo pita katika kuelezea Ushahidi kuwa Allah yuko mbinguni.

Qauli yenye faida 07 Allah yuko wapi?

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea kuhusu alipo Allah Mtukufu, kabainisha kuwa yuko mbinguni na amestawi juu ya Arshi yake na hafanani na kiumbe yoyote katika kustawi kwake.

Qauli yenye faida 06 Maana ya Kumfuata Mtume Alayhi salam

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea kuhusu Maana ya kumfuata Mtume rehma na amani za Allah ziwe juu yake, kisha ametaja hatuwa za kumfuata Mtume na Maswahaba zake, Kisha ametaja baadhi ya sunnah za Mtume kama swaumu ya Ashuraa.

Qauli yenye faida 05 Maana ya Shahada ya kuwa Muhamad ni mjumbe wa Allah

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inakamilisha mada ilio pita pia amebainisha athari za wanao shahidilia kuwa Mtume Muhamad ni Mtume wa Allah.


Qauli yenye faida 04 Maana ya Shahada ya kuwa Muhamad ni mjumbe wa Allah

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea kuhusu maana ya shahada ya pili ambayo ni Shahada ya kuwa Muhamad ni mjumbe wa Allah. Maana yake na dalili za uwajibu wa kumfuata Mtume.

Qauli yenye faida 03 Maana ya LaIlaha Ila Allah

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea Maana ya neno la Tawhiid na Umuhimu wake na matendo yanayo pingana na neno hilo.

Qauli yenye faida 02 Umuhimu wa Tawhid na Nguzo zake

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii inazungumzia umuhimu wa tawhid na nguzo zake


Qauli yenye faida 01 Maana ya Tawhidi

  • 23 / 7 / 1438 , 20/4/2017
  • Kushiriki
  •  
  •  
  •  
  • Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
  • Mada hii Inaelezea Maana ya Tawhiid na Ibada kisha ameelezea wigo wa Ibada za qauli na vitendo.

Ukurasa : 75 - Kutoka : 1

Mafungamano muhimu

Maeneo yetu

Tufuatilie kupitia

  •     

Au jiunge na orodha yetu ya E-mail

© Tovuti ya IslamHouse.com


Hamis


Report Page