FRIDAY

FRIDAY



🌹RATIBA YA IJUMAA πŸ’

1. KESHA LA ASUBUHI
Kuanzia saa kumi na Mbili hadi saa Moja (6:00 - 9:00 am)

πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ Kila Ijumaa ni siku maalum kwa ajili ya kushughulikia na kujifunza juu ya:- Mahusiano, Uchumba, Ndoa na Familia

2. MAFUNDISHO
Kuanzia saa Tatu (9:00 am)

3. MAHITAJI/MAOMBEZI
Saa Moja hadi Mbili (7:00 - 8:00)

✍ Unaweza kuandika mahitaji yako ili tuyaombee wote kwa pamoja.

4. MAFUNDISHO
Saa Mbili hadi saa Tatu usiku (8:00 - 9:00 pm)

5. KESHA LA USIKU NA MALIZA SIKU NA KRISTO YESU.
Saa Tatu hadi Nne usiku (9:00-10:00 pm)

Zingatia ratiba. Mafundisho yanapoanza kusipostiwe chochote.

Damu ya Yesu inene mema juu yako. Walete na wengine kwenye group/ madhabahu ya Maombezi washiriki hizi baraka.

Kuanzia saa Nne usiku hadi Kumi na Moja, lugha ya English itatumika. Kiswahili ni mpaka tena kesho kuanzia saa 6:00 asubuhi hadi Nne usiku. Amen


Maombezi/ Prayers
β›ͺ️ (Online Church) πŸ“³

Report Page